Bernard Mukasa
Bernard Mukasa
  • 76
  • 18 805 405

Відео

YESU FARAJA YANGU - Bernard Mukasa || MARIA MORAA MAKORI & QUADRI - V || Official Video
Переглядів 34 тис.Рік тому
Katika safari ya duniani, tuna mahangaiko mengi ya kimwili, na mengi zaidi ya Kiroho. Ndiyo maana Bwana wetu Yesu Kristo kabla ya kuondoka kati yetu katika hali ya kumwilika kwake, alituachia faraja ya njiani itusindikize safarini humu, ndiyo Ekaristi Takatifu, mwili na damu yake. Tumwalike daima tukiwa na mioyo iliyojiandaa, ili tumpokeapo tuimarike na kusafiri salama. YESU FARAJA YANGU
Bernard Mukasa Ft VIVIAN & VINCE MUKASA - WATOTO TUSALI ROZALI (Official music Video)
Переглядів 19 тис.Рік тому
WATOTO TUSALI ROZALI ni wimbo uliotungwa na Bernard Mukasa na hapa umeimbwa na Vivian Mukasa na mdogo wake Vince Mukasa, huku kinanda kikipigwa na kaka yao Vinny Mukasa. Huu ni wimbo wa pili kwenye mtiririko wa nyimbo za Katekesi kwa watoto zinazoandaliwa na kuimbwa na watoto Vivian na Vince, na unafundisha watoto kuhusu mafungu ya Rozali takatifu ya Fatima. Mtoto atayaeufuatilia wimbo huu atay...
Bernard Mukasa Ft Mt. Kizito, Riruta - Pokea Sadaka (Official Music Video)
Переглядів 50 тис.Рік тому
#Bernard Mukasa #PokeaSadaka #MusicVideo
Bernard Mukasa - Ipo Huruma (Official Music Video)
Переглядів 67 тис.Рік тому
Ulitungwa usiku wa tarehe 29-05-2018 kumshukuru Mungu kwa maisha na hatimaye kifo cha hayati Josephine Joseph Sendwa. Umeimbwa na kurekodiwa na familia ya Bw & Bibi Bernard Mukasa (Quadri V) Disemba 2022. Composed on 29-05-2018 as a thanks giving to God for the gift of life and death of Josephine Joseph Sendwa. Performed by Quadri V (Family of Mr & Mrs Bernard Mukasa) in December 2022.
KUNA MUNGU MMOJA - Bernard Mukasa || Official Video || VIVIAN MUKASA & VINCE MUKASA
Переглядів 45 тис.Рік тому
Vivian Mukasa (almaarufu V3 au Baby V), na Vince Mukasa (almaarufu kama V4 au Chito) ni watoto wa Bernard Mukasa na Matilder Sendwa (Bw & Bibi Mukasa). Mpaka mwezi huu Januari 2023 wana umri wa miaka 7 na 4. Licha ya kuimba pamoja na familia yao kama QUADRI V, wameanza mtiririko wa nyimbo za pekeyao wawili na baadaye hata mmoja mmoja zenye mahadhi ya watoto kwa ajili ya mafundisho ya katekesi k...
MATOLEO YA WANA WAKO - Bernard Mukasa || MARIA MORAA MAKORI (Triple M) & QUADRI V || Official Video
Переглядів 338 тис.Рік тому
Matoleo ya wana wako ni wimbo wa matoleo uliotungwa na Bernard Mukasa mwaka 1997 akiwa likizoni katika parokia ya Ifakara jimbo la Mahenge (sasa jimbo la Ifakara). Katika video hii wimbo huu umeimbwa kwa ushirikiano kati ya Maria Moraa Makori (Triple M) wa jimbo la Mombasa Kenya na familia ya Bwana na Bibi Bernard Mukasa (Quadri V). Waimbaji wengi walioshiriki ni Maria Makori, Vincent Makori, R...
MATOLEO YETU - Bernard Mukasa||A CHOIRED GRACE CHORALE - NAIROBI KENYA|| Official Video
Переглядів 123 тис.Рік тому
Matoleo Yetu - Bernard Mukasa. Wimbo uliotungwa mwaka 2009, unahusu matoleo/sadaka/vipaji.
MAKUBURI 25 - Bernard Mukasa|| UKWAKATA Parokia ya Makuburi|| Official Video
Переглядів 26 тис.2 роки тому
Jubilei ya fedha, miaka 25 ya Parokia ya Makuburi - Dar Es Salaam
BWANA UPOKEE - Bernard Mukasa || QUADRI - V || Official Video
Переглядів 69 тис.2 роки тому
Wimbo: BWANA UPOKEE Mtunzi: BERNARD MUKASA Waimbaji: QUADRI - V (Familia ya Bw & Bibi Bernard Mukasa) Kinanda: VINNY MUKASA Subtitles: REV. FR. RENATUS MASHISHANGA Studio (Audio & Video) HOLY TRINITY STUDIOS MANENO Ee Bwana upokee sadaka ya leo; Ya kuutukuza ufufuko wa mwanao. 1. Ni sadaka ya upendo kamili, kujitoa msalabani, Kwa ajili yetu tunaotukuza leo (huu) ufufuko wa mwanao. 2. Ufufuko wa...
MUNGU MWOKOZI - Bernard Mukasa || QUADRI-V || Official Video
Переглядів 106 тис.2 роки тому
Wimbo: MUNGU MWOKOZI Mtunzi: BERNARD MUKASA Waimbaji: QUADRI - V (Familia ya Bw & Bibi Bernard Mukasa) Kinanda: VINNY MUKASA Subtitles: FR. RENATUS MASHISHANGA Studio (Audio & Video): HOLY TRINITY STUDIOS MANENO Mungu mwokozi amejifunua. Bwana mwenyezi katuhurumia. Katukomboa ukombozi mkuu. Shangwe kubwa mbinguni, furaha kuu duniani. 1. Sasa jeshi la malaika wa Mbinguni wafurahi, yafurahi mafum...
EE BWANA UNIHUKUMU (QUADRI V) - Bernard Mukasa ... Official video
Переглядів 183 тис.2 роки тому
Wimbo: EE BWANA UNIHUKUMU Mtunzi: BERNARD MUKASA Waimbaji: QUADRI - V (Familia ya Bwana & Bibi Bernard Mukasa) Kinanda: VINNY MUKASA Studio (Audio & Video): HOLY TRINITY "Ee Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki. uniokoe na mtu wa hila asiye haki". Wimbo huu unatoka hasa katika Zab. 43:1, na ndio wimbo wa maingilio (Mwanzo) kwa DOMINIKA YA 5 YA KWARESMA.
SHUKRANI YA MIAKA 50 YA UPADRI WA ASKOFU METHOD KILAINI - NISEME NINI (SPECIAL)
Переглядів 110 тис.2 роки тому
Video from Bern Mukasa
USIYAKUMBUKE MAKOSA: QUADRI - V, Bernard Mukasa (Official video)
Переглядів 237 тис.2 роки тому
Wimbo: USIYAKUMBUKE MAKOSA Mtunzi: BERNARD MUKASA Waimbaji: QUADRI - V (Familia ya Bw & Bibi Bernard Mukasa) Kinanda: VINNY MUKASA Studio (Audio & Video): HOLY TRINITY STUDIOS MANENO/LYRICS KIITIKIO: Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, wala maasi yangu. Remember not the sins of my youth, nor my transgressions 1. Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu - Unto thee, Ooh Lord, do I lift up my soul 2. Ee M...
USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - FRENCH): QUADRI - V Par Bernard Mukasa
Переглядів 3,2 тис.2 роки тому
Compositeur: BERNARD MUKASA Choristes: QUADRI - V Pianiste: VINNY MUKASA Audio: HOLY TRINITY
USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - ENGLISH): QUADRI - V By. Bernard Mukasa
Переглядів 4,9 тис.2 роки тому
USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - ENGLISH): QUADRI - V By. Bernard Mukasa
USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - KISWAHILI): QUADRI - V Na. Bernard Mukasa
Переглядів 20 тис.2 роки тому
USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - KISWAHILI): QUADRI - V Na. Bernard Mukasa
NYOTA YA MASHARIKI (NON OFFICIAL VIDEO) - Bernard Mukasa
Переглядів 4,2 тис.2 роки тому
NYOTA YA MASHARIKI (NON OFFICIAL VIDEO) - Bernard Mukasa
KARAMUNI KWA IMANI - Bernard Mukasa (Official video) || SAUTI TAMU MELODIES
Переглядів 61 тис.2 роки тому
KARAMUNI KWA IMANI - Bernard Mukasa (Official video) || SAUTI TAMU MELODIES
MWILI WA FUMBO_UTAMBULISHO
Переглядів 7 тис.2 роки тому
MWILI WA FUMBO_UTAMBULISHO
MTAKATIFU (Mt. Matilda) - Bernard Mukasa
Переглядів 97 тис.2 роки тому
MTAKATIFU (Mt. Matilda) - Bernard Mukasa
Mwanakondoo (Mt. Victoria) - Bernard Mukasa
Переглядів 13 тис.2 роки тому
Mwanakondoo (Mt. Victoria) - Bernard Mukasa
ZINAMIMINWA MBELE YA RAIS WA KENYA
Переглядів 11 тис.3 роки тому
ZINAMIMINWA MBELE YA RAIS WA KENYA
WEWE UKO JUU - Bernard Mukasa
Переглядів 103 тис.3 роки тому
WEWE UKO JUU - Bernard Mukasa
BABA MIKONONI MWAKO - Pd. Gregory Kayeta
Переглядів 25 тис.3 роки тому
BABA MIKONONI MWAKO - Pd. Gregory Kayeta
HILA ZIMEVUNJWA Na Bernard Mukasa - QUADRI V
Переглядів 170 тис.3 роки тому
HILA ZIMEVUNJWA Na Bernard Mukasa - QUADRI V
Coming soon....
Переглядів 6 тис.3 роки тому
Coming soon....
NAKWENDA KWA BABA-QUADRI V By Bernard Mukasa
Переглядів 504 тис.3 роки тому
NAKWENDA KWA BABA-QUADRI V By Bernard Mukasa
TUEPUSHIWE UBINAFSI_QUADRI V By Matilder Sendwa Mukasa
Переглядів 203 тис.3 роки тому
TUEPUSHIWE UBINAFSI_QUADRI V By Matilder Sendwa Mukasa
MAISHA YANAISHA_QUADRI-V By Bernard Mukasa
Переглядів 1,2 млн3 роки тому
MAISHA YANAISHA_QUADRI-V By Bernard Mukasa

КОМЕНТАРІ